Swahili Home | Swahili 101 | Basic Vocabulary | Basic Grammar | Reading101

Reading 101

Jane ni mwanafunzi.

Yeye anatoka Marekani.

Anaishi New York

Yeye anasoma Kiswahili.

Yeye anapenda Kiswahili.

Tom ni rafiki wa Jane.

yeye pia anatoka Marekani.

Tom pia anasoma Kiswahili

Tom na Jane ni wanafunzi na wanapenda Kiswahili.

Wao wanakaa Tanaznia sasa.

Wanasoma Kiswahili hili Tanzania

Jane na Tom si Watanzania, wao ni Wamerkani.

Jane na Tom wanasema Kiswahili kidogo tu.

Wao wanasoma Kiswahili sasa.

Bob na Alice wanatoka Tanzania.

Wao wanakaa Dar es Salaam.

Bob na Alice si Wamarekani, Wao ni Watanzania.

Wao wanasema Kiswahili na Kiingereza.

Baba Bob ni Mtanzania. Yeye anatoka Tanzania na anakaa Tazania pia.

http:///wiki/?swreading101

23mar21   admin